Cardi B kwenye wimbo wake wa bodak yellow alisema, these expensive, these red bottoms, these bloody shoes well seem like kampuni ya Jada dubai wao wanakwambia these expensive, these gold pumps, these gold shoes. Kampuni hii imetengeneza viatu hivi kwa kutumia ngozi, hariri, dhahabu na almasi yaani tunamaanisha una kanyaga madini ooookrrry

we must say these are not your regular¬†stiletto’s,kampuni ya Jada dubai ilishirikiana na Passion Jewelers kutengeneza hivi viatu ambavyo wamevipa jina la “Passion Diamond”¬† kinauzwa $17,000,000/ Bilion 38,841,600,000/- sawa na Tzs well kupata hiki kiatu unatengenezewa haviuzwi tu kawaida na vinatengenezwa baada ya malipo kukamilika.

View this post on Instagram

Diamonds, gold. The Passion Diamond Shoes.

A post shared by JADA DUBAI (@jadadubai) on

we can’t wait to see you boss ladies rocking these shoes.