David & Bernahdette wame amua kufanya harusi yao iwe na theme ya ki Jamaica, kuanzia mavazi ya bride maids, eneo la sherehe mpaka cake. Tunaweza kusema ni most unique wedding themes tulizo wahi kuziona 

benkiruthi-photography

hii ndo wedding cake ikiwa na rangi ya kijani,nyekundu na njano kama bendera ya jamaica

ben-kiruth-photography-styleyetu9

Cake ndani napo ina rangi za ki Jamaica

ben-kiruthi-photography-styleyetu

Sote tunajua jamaica ni Island country kwaio David & Bernahdette waliamua theme yao iwe ya ki beach beach

ben-kiruthi-wedding-photography-styleyetu

Flower Girls wakiwa wame valia rangi za kijamaica zilizo fanana na rangi zilizopo kwenye cake BERNAHDETTE-DAVID-styleyetu-1

Bibi Harusi na bride maids wake

eggae-inspired-wedding-BERNAHDETTE-DAVID-styleyetu7

bwana harusi na wapambe wake

reggae-inspired-wedding reggae-inspired-wedding-BERNAHDETTE-DAVID-styleyetu

bibi harusi na bwana harusi

eggae-inspired-wedding-styleyetu