SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jay Styles Tz Ajibu Tuhuma Kuhusu Mionekano Ya Konde Gang
Mitindo

Jay Styles Tz Ajibu Tuhuma Kuhusu Mionekano Ya Konde Gang 

Week hii hot story ilikuwa kuhusu mionekano ya wasanii kutoka katika music label ya konde gang, ambapo watu mbalimbali walionekana kukosoa mionekano yao. Tulimtafuta stylist wa label hii ambae amejibu tuhuma hizo. Na kusema kwamba msanii anatakiwa kuwa tofauti well #afromates angalia hapo chini na utupe maoni yako je stylist anahitaji ku-step up his game au sisi watizamaji inabidi tubadilishe jicho na kuangalia kazi yake kisanaa zaidi?

Tuandikie maoni yako kwenye box la comment na usisahau ku-like na kushare.

Related posts