SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jay Z Is Obsessed With The Ginvenchy White Suit On Otr Tour 2
Mitindo

Jay Z Is Obsessed With The Ginvenchy White Suit On Otr Tour 2 

Seem like Jay Z na Beyonce wana-take serious notes kutoka kwa Former President & First Lady wa U.S.A, Barack Obama & Michelle Obama mwaka jana katika mkuwano wa Apple’s  Worldwide Developers Michelle alisema, Wakati yeye alikua ana vaa magauni mengi, Rais Barack Obama alikua anavaa tuxedo moja kwa miaka nane na hakuna aliyegundua,

inaonekana Jay Z na Beyonce walivutiwa na utaaratibu huu kwakuwa tumemuona Beyonce akiwa ana slay katika tour hii nakufanya aongelewe yeye zaidi kuliko mumewe Jay Z, hii ilimpa chance Jay Z ya kuwavaa hii suit ya Givenchy mara nyingi awezavyo bila ya watu kumuongelea kwamba Jay Z amerudia nguo,

Wakati wanazunguka miji mbalimbali kufanya hii tour,wakati wa ufunguzi wa tour Jay Z amekuwa akionekana kuvaa hii suit mara nyingi akiwa ame accessoriez na huo mkufu mkubwa hapo kifuani while our girl Beyonce kept on changing numbers.

Its funny kwamba kila wakipanda jukwaani fashion lovers wamekuwa wakiwa wanaongelea muonekano wa Beyonce zaidi bila ya ku-mention kwamba Jigga karudia suit, is it a men privellege? We guess so.

Hakuna mtu ambae anaweza kutuconvince kwamba kama ingekuwa Beyonce amevaa same outfit mara tano na zaidi isingekuwa social media topic kwamba Bey karudia nguo lakini on Jigga its okay, Its Arlaight

Givenchy must have paid Jigga some good $$$$ for him to wear hii suit kutoka kwao katika kila opening act ya otr tour 2,

Au labda Jay Z ana obsession na hii suit au pia inawezekana ni njia ya kumuomba msamahamkewe na dunia nzima for cheating on her we all know white means peace right? well haya yote ni sisi na mawazo yetu.

Let us know wewe unafikiri ni nini kati ya kuwa obssesed na hii suit, kalipwa au kuomba msamaha?

Related posts

1 Comment

  1. magic mushrooms in portland oregon​

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jay-z-is-obsessed-with-the-ginvenchy-white-suit-on-otr-tour-2/ […]

Comments are closed.