SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JE DESIGNER CHRISTOPHER KANE KAENDA MBALI ZAIDI KWA HILI?
Mitindo

JE DESIGNER CHRISTOPHER KANE KAENDA MBALI ZAIDI KWA HILI? 

The internet is buzzing over these shoes ambazo mbunifu Christopher Kane ali zishow case katika show ya London Fashion Week show, wengine wakisema viatu hivi vitakuwa msaada lakini wengine walithubutu kusema ni uchizi na kwamba fashion world ina turn to madness

Kiatu cha kwanza ni zile yebo yebo ambapo Christopher yeye ali zi modify na kuweka fake fur, Lol hii kwetu hatuja ona kama ime kaa vizuri nani atavaa yebo zenye fur? labda Rihanna au lady gaga lakini kwetu NOPE.

Lakini hii ya pili ni kama tume ipenda japo pia ina tupa maswali, hopeful hizi sponge zina wezekana kutolewa, ina wezekana ame fikiria wanawake huwa wanaumia wavvapo viatu ndio maana akaamua kuweka sponge kama choice ya jinsi unavyo weza kupunguza maumivu in style

 

Je mbunifu huyu kavuka mipaka na ubunifu wake? au yupo sawa

Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

2 Comments

  1. assistência informática

    … [Trackback]

    […] Here you will find 3150 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-designer-christopher-kane-kaenda-mbali-zaidi-kwa-hili/ […]

  2. hawaiian runtz

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-designer-christopher-kane-kaenda-mbali-zaidi-kwa-hili/ […]

Leave a Reply