SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Kuna Umuhimu Wa Kubadilisha Nywele Mara Kwa Mara?
Mitindo

Je Kuna Umuhimu Wa Kubadilisha Nywele Mara Kwa Mara? 

Hello #afromates tunadhani na ninyi mmekutana na hili ambalo tunaenda kuliongelea leo, hii topic imekuwa ikitrend huko katika mitandao ya kijamii, page mbalimbali zikiwasema baadhi ya watu maarufu wa kike kwa kutokubasilisha nywele. This got us thinking kuna umuhimu wa mwanamke kubadilisha nywele mara kwa mara?

 

Kwa wenzetu upande wa kiume inasemekana wanabadilisha nywele mara tatu hadi nne kwa mwaka na hii inahesabiwa wakiwa katika umri wa kati ya miaka 18-35,

wakati wanawake wakiwa katika umri huo wanabdilisha zaidi ya mara 50, wanaume wanatoa sababu kama nywele kuanza kuisha, kubadilisha mtindo, kuwa bored na muonekano wake na wachache husema wamekuwa inspired na mtu maarufu.

Tofauti na wanawake ambao wao wana sababu zaidi ya ishirini za kubadilisha mionekano ya nywele zao, kuwa inspired na mtu maarufu, mtindo mpya umetoka, kuficha mvi, etc na wakati mwingina hawana sababu maalum wamejisikia tu, hii husababisha watumie kiasi kingi cha pesa kwenye nywele ambazo wakati mwingine hazina hata quality alimradi tu amebadilisha muonekano wake.

 

Wakati Nchi za wenzetu watu maarufu kama Ariana Grande, Beyonce, Rihanna,Lady Gaga na wengine wengi wanaweza kukaa na nywele mtindo mmoja for ages bila ya kuulizwa kwanini hajabadilisha mtindo, na hii ni kutokana na mtu kutaka kuwa noticed na muonekano fulani, sio leo kijani kesho njano, Ariana Grande ana pony tail hair style ambayo ina muda mrefu sasa na amekata juzi tu baada ya ku-break up na mpenzi wake as they say a woman who cut’s her hair is about to change her life.

Kwetu sisi tunaona ni vyema kama utaweza kuwekeza kwenye quality hair ambayo inadumu miaka mingi all you need ni ku-refresh kama kubasilisha rangi na mitindo kuliko kuwa na nywele nyingi ambazo hazina quality je kwako #afromate una maoni yepi?

 

 

 

Related posts

4 Comments

 1. bonanza 178

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-kuna-umuhimu-wa-kubadilisha-nywele-mara-kwa-mara/ […]

 2. read

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-kuna-umuhimu-wa-kubadilisha-nywele-mara-kwa-mara/ […]

 3. 뉴토끼

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-kuna-umuhimu-wa-kubadilisha-nywele-mara-kwa-mara/ […]

 4. Gold Coast clear https://exotichousedispensary.com/product/gold-coast-clear/

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-kuna-umuhimu-wa-kubadilisha-nywele-mara-kwa-mara/ […]

Comments are closed.