SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Ni Sawa Bibi Harusi Kuvaa Sneakers Harusini?
Mitindo

Je Ni Sawa Bibi Harusi Kuvaa Sneakers Harusini? 

Wanasema mitindo haina mipaka si ndio? kama ukituuliza sisi Afroswagga ni sawa bibi harusi kuvaa sneakers katika harusi yake jibu litakuwa ndio, why not? Kila mtu ana mapenzi yake katika kitu, kuna wanawake wanapenda flats, wengine heels, wengine boots na wengine wanapenda sneakers.

Harusi ni siku ya kusheherekea na mara nyingi huwa mara moja tu kama hamto achana na we always want to make the most of that day maana haijirudii hivyo basi ni vyema kufanya kile ambacho huto kuja kujutia mbeleni, kama ungependa kuvaa sneakers sababu wewe ni mpenzi wa sneakers basi vaa tu.

Its all about being comfortable, let no one else tell you you can’t while you can.

Serena Williams alivaa sneakers katika harusi yake,yeye alivaa baada ya ndoa katika reception.

Ivie Okujaiye muigizaji kutoka Nigeria na yeye alionekana akiwa amevalia sneakers katika sherehe zote za harusi yake

hakuna mahali pameandikwa ni lazima uchague heels katika harusi yako, unaweza kuvaa chochote upendacho as long as umeridhia well sneakers & wedding dresses looks so stylish.

Related posts

2 Comments

  1. ํ…Œ๋”ํŒ๋งค

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-ni-sawa-bibi-harusi-kuvaa-sneakers-harusini/ […]

  2. bonanza178

    … [Trackback]

    […] Here you will find 14608 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-ni-sawa-bibi-harusi-kuvaa-sneakers-harusini/ […]

Comments are closed.