SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Ni Sawa Kuvaa Rangi Nyeusi Katika Harusi?
Mitindo

Je Ni Sawa Kuvaa Rangi Nyeusi Katika Harusi? 

Nyeusi ni rangi ambayo huepukwa na wengi hasa katika vitu kama sherehe, wengi huvaa nyeusi kipindi cha huzuni kwa kuashiria giza limetawala lakini kwenye nyakati za furaha nyeupe utawala na ndio maana mara nyingi katika sherehe hasa harusi walengwa huvaa rangi nyeupe kuashiria mwanga na furaha. Lakini rangi ni rangi japo huwa na maana zake haimaanishi basi the rules can’t be broken.

Wakati tunapita pita instagram tukakuta baadhi ya maharusi wengine kutoka hapa hapa Tanzania wakiwa wamevaa black dress ( hapa hatuna uhakika kama zilikuwa ni reception dress au ndio wedding dress) hii ikatufanya tujiulize hii ni sawa kwa bibi harusi au bride maids kuvaa nyeusi katika harusi? tukajaribu kupitia page za fashion na wedding experts na hili ndilo jibu tulilo lipata “As long as a black dress feels festive, it’s fine for a wedding!”

Ukiangalia kwa sasa kila fashion rule ina bomolewa watu wana vaa sequin dresses mchana, cocktail-length dress to a black-tie wedding, mixing prints nakadhalika, well tunadhani rule moja tu ya katika harusi usiibomoe nayo ni kuwa spirited usiharib sherehe ya wenzio, siku hizi watu wana vunja rules mbalimbali mpaka kuvaa rangi nyeupe kama wewe ni mgeni mualikwa lakini wana slay kupita bibi harusi mwenyewe

Tumejaribu kupata misemo mbalimbali kutoka Fashion Gulu’s mbalimbali na haya ni maoni yao katika kuvaa black kwenye harusi

—Jennifer Hyman CEO and co-founder, Rent the Runway

“Since brides are now wearing all shades of the rainbow, guests can, too—and that includes black!”

—Tara Soloway, wedding expert and co-founder of Luxe Destination Weddings

“Wedding guests can absolutely wear black. It is the most fabulous contrast to celebrate the white wedding gown

Andrea Behar, fashion designer

“In the past, wearing black was associated with mourning, therefore it was considered inappropriate to wear on the happiest day of someone else’s life. But that school of thought is outdated. Black is classic, fashionable and chic.”

 

Related posts

4 Comments

 1. website here

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-ni-sawa-kuvaa-rangi-nyeusi-katika-harusi/ […]

 2. 4 aco dmt eve,

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-ni-sawa-kuvaa-rangi-nyeusi-katika-harusi/ […]

 3. สล็อต pg เว็บตรง แตกหนัก

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-ni-sawa-kuvaa-rangi-nyeusi-katika-harusi/ […]

 4. additional reading

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-ni-sawa-kuvaa-rangi-nyeusi-katika-harusi/ […]

Comments are closed.