SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Ni Sawa Kuweka Handbag Yako Mezani?
Mitindo

Je Ni Sawa Kuweka Handbag Yako Mezani? 

Dear ladies, unavyobeba handbag yako inaonyesha/kusema vingi kuhusu wewe in terms of personality / style lakini pia inaonyesha tabia yako.

Kuna vitu vidogo ambavyo huwa hatuvitilii maanani au kutokuona maana yake lakini kumbe vinaonyesha / kusema vitu vikubwa kuhusu sisi hasa kwa wale ambao wanajua wakifanyacho, mfano unaweza ukawa umetoka kwenda date au business meeting na mtu unaekutana nae ni mtu mkubwa, mwenye kujielewa. Tumezoea kuweka handbag’s zetu kwenye meza tukidhani ni sahihi lakini kumbe ni tofauti kabisa, mezani ni sehemu ambayo inawekwa vyakula au vyombo na sio handbags.

Pia njia nyingine ambayo tumeizoea ni kuning’iniza handbag katika kiti tulichokalia, sio mbaya lakini pia inawezekana ukawa una wa distarb watu hawa wahudumu wanaokuja kukuhudumia wataigonga gonga.

Je uweke wapi handbag yako?

Je Uiweke Wapi Handbag Yako?
i) Kwenye seat isiyokaliwa pembeni yako
ii) pembeni ya kiti ulichokalia yaani pembeni ya mapaja yako

iii) Kwenye mapaja, kama handbag sio kubwa sana na haito kuzuia kula au kufanya kazi zingine unaweza kuiweka mapajani

iv)Beba handbag hook ili uweze kuning’iniza handbag yako mezani.

Related posts