Trend iliyopo sasa ni kuvaa viatu virefu (high heels) na socks, trend hii ipo toka miaka ya 80 ambapo watu maarufu  kama princess Diana na Madonna walisha onekana wakiwa wamevalia mtindo huu. Kwa sasa tumemuona Rihanna na fashion blogger tofauti tofauti wakiwa wamevalia mtindo huo, Je wewe msomaji wetu umeuonaje huu mtindo utavaa?

rihanna-sono-nightclub-miu-miu-fendi-stance-rihanna-dior-1-448x600 rock-it-or-knock-it-socks-and-heel-fbd1-530x378 rock-it-or-knock-it-socks-and-heel-fbd2-399x600 rock-it-or-knock-it-socks-and-heel-fbd3-400x600

Comments

comments