SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Wabunifu Wetu Wanaochipukia Wanajua Tofauti Ya Role Model Na Copy Cat?
Habari

Je Wabunifu Wetu Wanaochipukia Wanajua Tofauti Ya Role Model Na Copy Cat? 

Tulikaa tukajiuliza kwanini sisi kila siku tupo nyuma katika ulimwengu wa Fashion? Kwanini katika majukwa yetu kila siku vitu vinavyo pita ni vilevile? kwanini tunaendelea kusikia majina ya wabunifu wale wale miaka na miaka? Tukagundua tatizo lipo kwa up comings, wengi ukiwauliza role model wako ni nani atajibu Mustafa Hassanali, au Martin Kadinda au Ally Rehmtullah.

Ni sawa mtu kuwa na role model au mtu ambae unamuangalia katika kitu unacho kipenda lakini hii haimaniishi wewe u-copy design zake na kubadilisha kidogo tu, hii inaleta watu waendelee kuwa na style zilezile kwenye majukwaa kila siku. Ukiwa unamuangalia mtu na ku-copy anachofanya huyo si role model wako wewe una kuwa copy cat wake. Yaani unafanya kile anacho kifanya ila unakigeuza kidogo tu.

Role model ni mtu ambae unamuangalia kama mfano, unaweza ukapenda mafanikio yake, anacho kifanya au story yake. Unapoamua kufanya kile anachofanya exactly hapo hawi role model wako wewe unakuwa fan ambae pia unaiba idea zake.

Tunahitaji creative minds, ndio maana sasa hivi hata wasiofaa kuwa wabunifu wanajiita wabunifu kwa ku-copy kazi za wenzao. Kuwa mbunifu kunahitaji uwe na creative ideas tofauti tofauti ambazo inaweza kuwa umezibuni mwenyewe mpya au umeikuta na ukaiweka katika hali nyingine tofauti.

Sababu ambayo inatufanya wengi tufeli ni kwamba hatupo tayari kufikiria vitu vipya, kwa wenzetu mbunifu ndio anakuwa wa kwanza ku-set rends, mfano tumeona trends mbalimbali kama see through trend ambayo tulianza kuiona mwaka 2008 na wabunifu mbalimbali wakairukia na wao kuanza kutengeneza mavazi ya aina hio, lakini yupo ambae yeye ndio alianzisha trend hii kwa kupitisha collection yake ikiwa na designs hizi.

Kuwa mbunifu kautegemei tu na vazi lakini ni nini unafanya kipya katika lile vazi? suruali inaweza kuwa suruali lakini kipi kipya unaipa ile suruali? Wenzetu wananguo aina ileile lakini ukiiona unaweza kusema ni vipi amefikiria hili? Tunahitaji hizo minds ambazo zipo tayari kufikiri nje ya box

Related posts

5 Comments

  1. rich89bet

    … [Trackback]

    […] Here you will find 13714 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wabunifu-wetu-wanaochipukia-wanajua-tofauti-ya-role-model-na-copy-cat/ […]

  2. hello molly love drug dress,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wabunifu-wetu-wanaochipukia-wanajua-tofauti-ya-role-model-na-copy-cat/ […]

  3. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] There you will find 5017 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wabunifu-wetu-wanaochipukia-wanajua-tofauti-ya-role-model-na-copy-cat/ […]

  4. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wabunifu-wetu-wanaochipukia-wanajua-tofauti-ya-role-model-na-copy-cat/ […]

  5. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wabunifu-wetu-wanaochipukia-wanajua-tofauti-ya-role-model-na-copy-cat/ […]

Comments are closed.