SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Wajua Cannes Film Festival Hairuhusu Watu Kuvaa Viatu Vifupi
Mitindo

Je Wajua Cannes Film Festival Hairuhusu Watu Kuvaa Viatu Vifupi 

Cannes Film Festival ni tamasha ambalo hudumu kwa siku kumi na moja, tamasha hili uhusiana zaidi na upande wa filamu ambapo waigizaji maarufu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali uhudhuria katika Tamasha hili. Moja ya sera zao ni kwamba huruhusiwi ku-attend katika Tamasha hili ukiwa na viatu vifupi lakini pia kwa wanaume ni lazima kuvaa tai nyeusi tu.

Well kuna ambao hawaipendi hii rule kama Muigizaji Kristen Stewart ambae yeye alishawahi kusema vhii rule inabidi ibadilishwe mwaka 2016 akiwa anafanya mahojiano na gazeti la Marie Claire Kristen alisema “Things have to change immediately. It has become really obvious that if [a man and I] were walking the red carpet together and someone stopped me and said, ‘Excuse me, young lady, you’re not wearing heels. You cannot come in.’ Then [I’m going to say], ‘Neither is my friend. Does he have to wear heels?’ It can work both ways. It’s just like you simply cannot ask me to do something that you are not asking him. I get the black-tie thing but you should be able to do either version—flats or heels.”

Lakini si yeye tu ambae havutiwi na sera hii mwanadada Emily Blunt  pia alisha wahi kuliongelea hili mwaka  2015.  Ambapo alisema “I think everyone should wear flats, to be honest,” she told a reporter then. “We shouldn’t wear high heels anymore. That’s just my point of view. I prefer to wear Converse sneakers.”

Lakini to make it more clear kwamba sio tu kuongea anaweza kuonyesha na vitendo Kristen mwaka huu ameamua kuvua kabisa heels zake na kutembea pekua katika red carpet hio, Kristen alivua  black Christan Louboutin stilettos zake na kuzishika mkononi huku akitembea katika red carpet ya Cannes

Tuambie wewe unafikiri nini kuhusu hii rule ya Cannes je ni sawa au ni vyema wakawaacha watu wachague wanataka kuvaa nini? tupe maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii

Related posts

3 Comments

  1. LSM99 CASHBACK Credit 3% ทุกวัน

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wajua-cannes-film-festival-hairuhusu-watu-kuvaa-viatu-vifupi/ […]

  2. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wajua-cannes-film-festival-hairuhusu-watu-kuvaa-viatu-vifupi/ […]

  3. 토렌트 다운

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/je-wajua-cannes-film-festival-hairuhusu-watu-kuvaa-viatu-vifupi/ […]

Comments are closed.