Ni mtindo wa jeans ambao umeingia sasa eidha ni suruali,sketi au gauni inakua na kitambaa zaidi ya kimoja cha jeans. Hii ime fanya watu kujiuliza wata vaa kwa namna gani, hizi ni namna chache tu ambazo unaweza kuvaa suruali yako ya jeans yenye kitambaa zaidi ya kimoja.

[URIS id=1598]