SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jifunze Namna Ya Kutembea Ukiwa Umevaa Viatu Virefu
Mitindo

Jifunze Namna Ya Kutembea Ukiwa Umevaa Viatu Virefu 

Afro mates kutembea ukiwa umevalia viatu virefu nacho ni kipaji au tunaweza kusema its an art, ambayo kila mtu anaweza endapo tu atajifunza. Kusema ni kipaji sio kwamba kuna watu ambao wamezaliwa nacho moja kwa moja wanajua how to walk in heels, wanachukua muda kujifunza and don’t we all envy a woman who wear heels? As Afroswagga we do. Leo tunawaletea Tips za jinsi ya kutembea ukiwa umevalia viatu virefu kama wewe ni mpenzi wa viatu virefu na hujui namna ya kuvitembelea.

 • Size matters 

Chagua size inayo kutosha kama viatu vyako ni vikubwa au vinakubana itakupa shida katika kutembea,lakini pia inatakiwa ujue shape ya mguu wako kuna aina ya viatu kwa wale wenye miguu minene na wenye miguu myembamba, like kuna pair za pumps hazimfai mtu mwenye mguu mnene kwa maana zitabana vidole na kufanya mguu uonekana umetuna au kuonekana umebanwa sana na kiatu.

Jinsi Ya Kufanya Kiatu Chako Kisicho Kutosha Vizuri Kikutoshe

 • Anza na kisigino kifupi kwenda kirefu

Don’t rush unakiwa kuchukua baby steps, kama amabvyo tunaanza kufundishwa chekechea herufi,numbers kabla hatujapelekwa kwenye mahesabu na kuandika Insha basi ni same na katika kuvaa heels, unaweza kuanza na viatu vyenye visigino vidogo, wedges au hata block heels kabla ya kufikia zile 6 iches.

 

  • Anza na umbali mfupi kwanza

 

Kabla ya kutoka nacho na kwenda nacho mbali anza kufanya mazoezi ya nyumbani tembea nacho umbali mfupi, unaweza kwenda nacho kazini lakini hakikisha umebeba flats zako, unapoanza kuona umechoka unavua na kuvaa flats. Usianzie na umbali mrefu unaweza kushindwa ukaanguka na kuumia au kuwa sehemu huwezi kuvivua na kutembea peku ukasababisha miguu kuvimba na matatizo mengine.

JUA JINSI YA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA VIATU VIREFU

   • Tembelea kutokea kwenye kisigino  kwenda kwenye vidole sio vidole  kwenda kwenye kisigino

   

  Ni rahisi kutembea katika flats kwa maana mguu wote unakuwa chini lakini unapovaa heels kisigino kinaanza kuwa chini, ili kupata motion nzuri na kutembea comfortably unatakiwa uzito uwekwenye kisigino kwenda kwenye vidole wengi huwa tunafanya makosa kwa kuweka uzito kwenye vidole kwenda kwenye kisigino.

     • Mwisho Tembea On Imaginary Straight Line & Look Straight As You Walk

   

  The trick is to look straight wakati unatemeba, we know we know unachofikiria kwamba wewe sio model unatembea kwenye runway lakini you can learn to do so & master the trick as same as models. Look straight towards your goals & imagine unatembea on a straight line, there you go with that catwalk darling.

Well let us know you’re trick & tips on walking in heels.

Related posts