SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jihan Dimack, Sylivia Bebwa & Gigy Money  Serving Lewks
Mitindo

Jihan Dimack, Sylivia Bebwa & Gigy Money Serving Lewks 

Week iiyopita ilikuwa na events mbalimbali, watu maarufu wengi walionekana kuhudhuria event hizo na hapa tunawaona wadada hawa watatu ambao tulipenda mionekano yao.

Miss Tanzania 2019/2020 Sylivia Bebwa was all shiny in Mac Couture ball dress, tumependa hii look on her, and this is how you show up and show out. She left a mark kwenye usiku wake wa mwisho kama Miss Tanzania.

Jihan Dimack yeye pia alikuwa amevalia gauni kutoka kwa Mac Couture, ambapo ilikuwa ni sequin purple dress yenye mpasuo mbele lakini statement accessories alizoziongezea ndizo ambazo zilinogesha zaidi huu muonekano as we always say sometimes all you need is that statement extra accessory.

Gigy Money, Gigy really served us some Beyonce inspiration in this metallic look, ni one of the best look ambayo tumeshawahi kumuona nayo kwenye stage.

Well Mates look ya nani umeipenda zaidi?

Related posts