SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI LINNAH ALIVYO STYLE BLUE NA NUDE FUR HEELS
Mitindo

JINSI LINNAH ALIVYO STYLE BLUE NA NUDE FUR HEELS 

Linnah Sanga ni mwanamuziki wa bongo flava ambae kwa sasa anaonekana kupendeza zaidi, kwenda kimitindo kuliko miaka ya nyuma. Kilichopo kwa sasa ni Fur Shoes ni vile viatu vinakua manyoya juu tumeshaona makampuni makubwa yaki tengeneza hivi viatu kama Puma X Fenty (Rihanna). Watu wengi maarufuwa Nchini na nje ya Nchi wameonekana kupendelea kuvaa hivi viatu mmoja wapo ni Bibi Linnah Sanga, ambae yeye tumemuona navyo vya nude na blue

Nude alivivaa mara mbili, mara ya kwanza alivaa na short pant nyeupe na top ua long sleeve nyeupe, brown lipstick aka accessorize na choker nyeusi

14240952_1452665364750662_1395374182_n

kavivaa tena na little dress nyeusi hapa hakujiremba sana simple tu14359319_308607116180603_691153827_n

vya blue alivivaa pamoja na gauni fupi lenye blue na nyeuope, viatu hivi vinauzwa $90 sawa na fedha za ki Tanzania tsh 198,00014359486_1793546974216137_1963643008_n

Unaweza kununua hapa

linnah

kwa maoni yako una weza kutuachia comment kwenye ki box cha comments au tembelea kurasa zetu katika mitandao ya kijamii

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts