SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Tuxedo Dress Ilivyovamiwa Na Mastaa
Mitindo

Jinsi Tuxedo Dress Ilivyovamiwa Na Mastaa 

Tuxedo dress ni moja ya essentials ambazo kila mwanadada ana paswa kuwa nayo na hii ni kutokana na kwamba ni rahisi kui-style lakini pia ina fit kila mahali, iwe casual,smart au business wear. Juma hili tumeona mastaa mbalimbali wakiwa wamevalia vazi hili wakiwa wana hudhuria hafla mbalimbali au katika mitoko yao binafsi

Muigizaji Leslie Jones alihudhuria hafla ya Time 100 Met Gala akiwa amevalia Tuxedo dress nyeupe na open heels nyeusi, amemalizia muonekano wake na miwani & clutch, tumependa muonekano huu kutoka kwake ame slay effortless

Lakini pia tumemuona muigizaji ambae ni slayer Blake Livery akiwa amevalia Tuxedo ya dark blue, ambayo aliistyle na white shirt na colorful bow tie,amemalizia muonekano wake na cute pumps.

Halle Berry nae ameonekana kuvutiwa na vazi hili ambapo yeye alivaa a gray tuxedo dress aliyo malizia na gray pumps, Halle looked flawless effortlessly

Tumeowaona fashionista’s pia wakiwa katika vazi hili

Slayer Olar Slim yeye aliamua kuvaa all pink outfit ambapo alivaa tuxedo dress ya pink na pumps za pink akiwa amemalizia muonekno wake na clutch

All black outfit with a dash of red lips kutoka kwa stylist na makeup artist Sindi Dlamini

Kwetu Tanzania tumemuona  Nasreen Karim akiwa amevalia pink tuxedo dress na yeye amevaa na pink shoes akiwa amemalizia na beaded enjipai necklace

Well hapo juu tumeona wengi wakiwa wamevalia heels lakini unaweza kuvalia flats, raba na hata boots ina tegemea na uendapo na mapenzi yako.

Related posts

3 Comments

  1. pay off debt

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-tuxedo-dress-ilivyovamiwa-na-mastaa/ […]

  2. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-tuxedo-dress-ilivyovamiwa-na-mastaa/ […]

  3. growing and selling mushrooms​

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-tuxedo-dress-ilivyovamiwa-na-mastaa/ […]

Comments are closed.