Hiki kipindi karibu kila mmoja wetu anakipita, kipindi ambacho umri unakuwa na unaona kabati au mavazi yako haya match na maisha yako ya sasa na umri wako, hii ni kutokana na kwamba when we grow kuna baadhi ya vitu vinabadilika, life style ina badilika na vile ambavyo ulizoea kuvaa kunabadilika sometimes it can be confusing, oh yes.
Let me share a little story, wakati nakua nilikuwa tom boy inspired by my brothers, Salama Jabir, Dj Fetty na baadhi ya influential people wakati huo alikuwa Rihanna, Ciara,kipindi hiki hata ukijaribu kuangalia mitandaoni watu wa zamani kina Missy Elliot, Da Brat na kina Queen Latifah walikuwa wanavaa Tom Boyish fashion na wengi wetu tulikuwa tunavutiwa nayo, chuo maisha yakaanza kuabadilika lakini i was coping very well maana chuo wanataka uvae mavazi ambayo yanaachia so haikuwa shida sana mimi kuvaa mavazi yangu kama t-shirt na suruali zilizo achia.
But there is a life after a teenager phase ambapo nilikutana na kazi, kazi ya kwanza ilikuwa unavaa uniform hapa kidogo ilikuwa rahisi lakini ugumu ulikuja katika kazi ya pili ambapo ilinihitaji kuvaa nguo za kawaida ila ni lazima uvae na kiremba kichwani ( sasa unavaaje mlege na turban babu halafu ofisini?) it took me a whole year to figure my wardrobe out and for it to match my style and life style, how did i do it?
Hizi hapa ni tips ambazo na wewe unaweza kufanya kama upo kwenye phase hii,
- Safisha Kabati Lako
Hatua ya kwanza ya kuchukua nikusafisha kabati na hii ni kuondoa unachoona kinafaa na ambacho hakifai kwa wakati huo, mfano kutoka na kwamba nilikuwa navaa sana short pants na suruali za kuachia, t-shirts na vest ilinibidi niviondoe baadhi na baadhi vikabaki, utajiuliza kwanini vingine vilibaki? hapa ndipo tip ya pili inakuja
- Jua Style Yako Na Kama Ungependa Ibadilike Au Iendelee Kuwa Vilevile
Well mimi sikutaka kazi yangu inibadilishe nilicho chagua ni kujaribu kuunganisha style yangu na requirements za kazini na maisha yangu ya sasa, ofcourse unatakiwa kuvaa kiremba kichwani nilikuwa nina suruali za vitambaa zinazoachia nilicho fanya ni kuongezea mashirt na blouse za mikono mirefu nikawa navaa hizo pamoja na viremba trust me it worked just fine.
- kabla ya kujua kuhusu kuunganisha style na mavazi yangu nilisha nunua skirts na magauni which niliona kabisa this is not me.
- i tried kuvaa viatu virefu na nikashindwa sababu nilisha zoea boots na sneakers.
What Did I Do? – Sikutupa skirts wala magauni ila definitely viatu virefu viliondoka ( Usitupe unaweza kugawa au kama vipo kwenye good condition unaweza kuuza) sababu i feel good in my style ninacho fanya kwa sasa kama nikivaa skirt najaribu kuiunganisha kuvaa na sneakers najaribu kuiweka iwe kikazi zaidi yet on my style & comfortable.
- Look For Other Cloth That Work With My Style
As nimekuwa nikiwa sivai nguo za kubanwa au skirt na magauni nilijaribu kutafuta nyingine ambazo zinaendana na style yangu ukiachana na suruali za kitambaa zinazoachia, nguo kama palazzo pants, jumpsuits, high waist & wide legs trousers zimenibeba na kunisaidia lakini pia ballet shoes, so what you need is kufikiria kile ambacho kinaendana na wewe kwa mtindo mwingine.
- Look For Inspiration
Hakuna mtu ambae ana style ya peke yake, japo mnaweza kutofautiana lakini inawezekana wanapo pita wao na wewe kidogo mnaendana kwa namna moja au nyingine labda wanavaa sneakers kama wewe, labda shirt za mikono mirefu etc, angalia wengine ambao mnaendana kidogo na namna ambavyo wanafanya. hii pia inasaidia sana
Well we hope tumekusaidia kwa namna moja au nyingine unaweza kutuambia unatatizo gani la fashion na tukaliandikia hapa.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-unavyoweza-kubadilisha-wardrobe-yako-kutokana-na-umri-na-mazingira/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-unavyoweza-kubadilisha-wardrobe-yako-kutokana-na-umri-na-mazingira/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-unavyoweza-kubadilisha-wardrobe-yako-kutokana-na-umri-na-mazingira/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-unavyoweza-kubadilisha-wardrobe-yako-kutokana-na-umri-na-mazingira/ […]