SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI WATU MAARUFU WALIVYO JIANDAA NA WINTER
Mitindo

JINSI WATU MAARUFU WALIVYO JIANDAA NA WINTER 

Msimu wa baridi ndio unaingia huko kwa wenzetu kuna kuwagana mabarafu, huku kwetu mvua za rasha rasha, upepo na vumbi. Huko kwa wenzetu wamesha anza kujiandaa na msimu huu ambapo wengi wao wameonekana kuvalia makoti ya manyoya (fur coats) Tuna weza kusema mwaka huu fur coats zitatamba sana maana mpaka sasa asilimia 30 ya celebrities wameonekana na vazi hilo na hawa ni baadhi

Adriana-Lima-at-The-Wendy-Williams-Show--08-662x1058

Adriana Lima Lea-Michele-at-LAX-Airport-in-Los-Angeles--02-662x946

Lea MichelleOlivia-Palermo-Shopping-in-Soho--09-662x1076

Olivia Parlemo

rs_634x1024-161201194211-634.Iggy-Azalea-Hollywood.kg.120116

Iggy Azeliars_634x1024-161207052826-634.Rita-Ora-NYC-JR-120716

Rita Orars_634x1024-161207162619-634.Ruby-Rose-New-York.kg.120716

Ruby RoseSandra-Bullock--Filming-Oceans-Eight-Set--02-662x993Sandra Bullock

Victoria-Justice--Out-in-NYC--02-662x943

Victoria Justice

 

Related posts