SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Watu Walivyo Vaa Katika Hafla Ya Malkia Wa Nguvu 2018
Mitindo

Jinsi Watu Walivyo Vaa Katika Hafla Ya Malkia Wa Nguvu 2018 

As usual tunapenda weekend ikiwa na event maana tunapata muda wa kuona ni jinsi gani watu maarufu wetu wame improve katika mavazi hasa kwenye red carpet, Jana kulikuwa na event ya Malkia wa nguvu na watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika hafla hii na hawa ndio baadhi yao na namna walivyovaa

Mwanamuziki Lulu Diva akiwa amevalia lemon dress kutoka kwa Jacques Collection, tunaeza kusema alipania everything is on point the color is popin, shoes on point & make up on fleek tumependa huu muonekano tunampa 10/10

Feza Kessy yeye aliamua kuvaa a black dress ambayo ilimpendeza sana, tumependa viatu vyake lakini mostly ni make up na accessories alizo vaa kwenda pamoja na hii gauni, amebadilika mno & its okay to change sometimes 9.5 kwake.

Meena Ally amevalia suit kutoka kwa mbunifu boardington_gondwe tumependa jinsi alivyo accessorize hii suit, layered necklace & a long black coat to calm the suit color out of 10 tunampa 8.5

Shadee alikuwa host wa red carpet na alivaa this cute pink dress na gold shoes, hatuwezi kusema she went all in au hakupendeza she looked just fine tunampa 8

Idris Sultan aliwawakilisha vyema wanaume katika hii event, alivaa lavender suit coat, gray trouser na ame accessorize suit yake hii na scarf, he looked sharp 9.8 kwake.

Maua Sama rocking nude jumpsuit na nude shoes we love the look on her, amekuwa styled na Noel Gio na yeye anapata 8.5

Makeup artist Lavie Makeup yeye aliamua kuvaa a kitenge skirt kutoka kwa mbunifu Lucky Creations na black shirt akimalizia na green pumps zilizo endana rangi na skirt yake, not her best look lakini sio mbaya pia well amechukua 6.5

Nandy alivaa purple & blue dress amependeza but we will give her 5.5 she could have done more.

Tuambie wewe umempenda nani zaidi na nani unahisi alizogoa?

Related posts

5 Comments

 1. cheap skirting boards perth

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-watu-walivyo-vaa-katika-hafla-ya-malkia-wa-nguvu-2018/ […]

 2. ข่าวกีฬา

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-watu-walivyo-vaa-katika-hafla-ya-malkia-wa-nguvu-2018/ […]

 3. 토렌트 사이트

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-watu-walivyo-vaa-katika-hafla-ya-malkia-wa-nguvu-2018/ […]

 4. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-watu-walivyo-vaa-katika-hafla-ya-malkia-wa-nguvu-2018/ […]

 5. Medicijnen bestellen zonder recept bij Benu apotheek vervanger gevestigd in Breda

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-watu-walivyo-vaa-katika-hafla-ya-malkia-wa-nguvu-2018/ […]

Comments are closed.