SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUANZISHA VIPODOZI VYAKO MWENYEWE (mwisho)
Mitindo

JINSI YA KUANZISHA VIPODOZI VYAKO MWENYEWE (mwisho) 

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-4

B) Jifunze ujuzi wa masoko

Jua nini tofauti kati ya bidhaa yako na wengine

Kwanini mteja atoke kwenye bidhaa aliyo izoea aje kwenye bidhaa yako (jifunze mapungufu yaw engine)

Ni ufungaji gani ambao unaweza kuleta utambulisho mzuri wa bidhaa,kufanya uaminifu na utegemevu kuungana pamoja.

Ni kiungo gani maalumu utakacho kiegemea? Je ni asili,kikaboni “organic” au vinginevyo? Na kuwa na dondoo za kisayansi ku kukupa mgongo wa wewe kudai bidhaa yako itafanya kile ambacho una haidi.

3) MAANDALIZI YA BIASHARA

 • A) Fikiria jina

Hii ni sehemu muhimu Zaidi ya biashara yako ambayo ita ielezea bishaa yako pamoja na biashara yako. Unaweza ukachagua jina lako kama jina la bidhaa yako lakini pia unaweza ukachagua neno lolote ambalo litamfanya mnunuaji aangalie mara mbili.

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-6

 

 • B) Maamuzi ya kwamba utaanzia kufanya biashara yako nyumbani au utakodisha eneo

Kama utachagua kukodisha jengo chagua sehemu ambayo si ghali kwa maana ndio kwanza unaanza utahitaji pesa kwa ajili ya kuanza hio biashara lakini si mbaya kama utaanzia nyumbani kwanza.

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-7

 • c) Ongea na wahasibu na washauri wa kisheria unapo anza maandalizi ya biashara

utahitaji vitu kama ushuru,bima na kujua kama biashara yako imefikia viwango vya kuuzwa, unahitaji kujua mipaka pia na vitu kama mishahara, jinsi ya kuhifadhi bidhaa isipoteze ubora nk.

4) TAGAZA BIASHARA YAKO

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-8

 • A) uza/tangaza biasahara yako kwa njia nyingi uwezavyo.

Hii inajumlisha kutembeza biashara yako maofisini, kwenye maduka,mitaani, kwenye duka lako mwenyewe na hata kwenye mitandao.

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-9

 

 • B) Kua na mwongozo wa wazi katika kichwa chako.

Unapo kutana na wateja lazima uwaambie kwanini biashara yako ni bora kuliko za wengine, unahitaji sababu tano za kuwaambia pia unahitajika kuwa tayari kwa maswali yoyote kutoka kwa wateja pia na ushauri, washauri wateja watumie vipodozi vya aina gani kutoka kwako kutokana na ngozi zao au mahitaji yao.

 

 

 

Related posts

2 Comments

 1. สล็อตเว็บตรง แตกง่าย

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuanzisha-vipodozi-vyako-mwenyewe-mwisho/ […]

 2. Darknet market links list 2023

  … [Trackback]

  […] Here you can find 20926 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuanzisha-vipodozi-vyako-mwenyewe-mwisho/ […]

Leave a Reply