SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUANZISHA VIPODOZI VYAKO MWENYEWE
Mitindo

JINSI YA KUANZISHA VIPODOZI VYAKO MWENYEWE 

Wengi tunapenda kuanzisha bidhaa zetu wenyewe za vipodozi lakini hatujiu tuanzie wapi, mtu anaweza akawa ana penda awe kama Shekha Manjano lakini hajui aanzie wapi na hawezi kumpata akamuuliza hizi ni njia ambazo zina weza kukusaidia kutimiza ndoto yako.

Pata uelewa wa jinsi ambavyo vipodozi vina fanya kazi na vipodozi vipi vilivyopo sokoni

Kama una taka kuinga kwenye biashara ya vipodozi unatakiwa uwe na uelewa mkubwa wa kwanini na vipi vipodozi vinafanya kazi. Hii ni Zaidi ya kuvipaka usoni mwako-inamanisha uwe una elewa historia yake nyuma ya bidhaa za vipodozi nini kina fanyika. Njia zitumikazo kujua aina za nyuso, kutoka mkavu,wenye mafuta hadi chunusi.

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-1

Njia za kukuza uelewa wako:

 • Pata stashahada ya vipodozi (soma chuo)
 • Soma wasifu wa watu ambao wamesha anzisha vipodozi vyao ndani nan je ya ulipo kama vile Shekha Manjano.
 • Jifunze njia mbadala za kupata viungo vya vipodozi
 • Chukua muda wako kujifunza viungo vipi vinaingiliana katika vipodozi tofauti tofauti kama lipstic, foundation.

Fanya majaribio nyumbani:

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-2

Azima/nunua vitabu vya mafunzo ya kutengeneza vipodozi. Hii itakusaidia kukuza uelewa wa jinsi ya viungo vinavyo fanya kazi na na kukuwezesha kufanya maamuzi sahihi

 • Jaribu kuwapa rafiki zako au ndugu zako majaribio yako na uchukue ushauri kutoka kwao.

2)FANYA MAAMUZI YA AINA YA KIPODOZI UIPENDAYO

Chagua ni aina ipi ya vipodozi unayo taka kuifanya

Neno “VIPODOZI” lina beba vitu vingi kama nywele,uso,ngozi, nakadhalika, kwaio ni vizuri Zaidi ukijua wapi hasa ndio lengo lako kuu. Kujua nini unataka ni bora Zaidi jikite kwa kile unacho kiweza na unacho kipenda kile ambacho unaweza kupata mawazo tofauti tofauti na kukifanya kiwe bora kila ukiamka asubuhi.

670px-Start-Your-Own-Cosmetics-Line-Step-3

 • Kwanza kuza jina na pata mawazo tofauti tofauti kwa kipodozi kimoja ukisha pata uwezo wa kuweza kufanya vingine una fanya.

ITAENDELEA….

Related posts

2 Comments

 1. เครดิตฟรี 50 ยืนยันเบอร์

  … [Trackback]

  […] Here you will find 9437 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuanzisha-vipodozi-vyako-mwenyewe/ […]

Leave a Reply