Hili ni tatizo kubwa ambalo linaonekana kwa watu mbalimbali wakivaa viatu virefu huwa kuna kijinafasi kinaachia nyuma, na hii mara nyingi hutokana na kuforce balance na kuvuta/kusukuma miguu zaidi mbele.

Ukiwa na kiatu cha aina hii tumia kipande chembamba cha godoro, weka chini ya kiatu kwa mbele kisha vaa kiatu chako kita fit vizuri. Unaweka kipande cha godoro chini usirundike kipande hiko kwa mbele kiatu kitatuna na utaharibu show ya kiatu na vidole kuumia)

 

 

Comments

comments