SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Ya Kufanya Mkoba Wako Unukie Vizuri
AfroTipAndTricks

Jinsi Ya Kufanya Mkoba Wako Unukie Vizuri 

Tunahifadhi vitu vingi kwenye mikoba na hii upelekea kuleta harufu ndani ya mikoba hii, mchanganyiko wa vitu tunavyo hifadhi na hili joto vikikutana basi inaleta tafrani na inawezekana ukaona aibu kufungua mkoba wako mbele za watu. Kuna namna mbali mbali rahisi za kufanya mkoba wako unukie vizuri

 • Osha/Fua

Mara nyingi huwa tunasahau kuosha mikoba yetu, tunafuta tu nje unaonekana msafi lakini ndani hatukumbuki, inafaa kufua mkoba wako ndani pale unapochafuka na kama ungependa unukie basi unaweza kutumia sabuni za kunukia na hii itafanya mkoba wako kunukia vyema.

 • Uweke upate hewa

Kwa sababu huwa tunafunga mikoba yetu wakati wote harufu inazidi kukaa ndani, ni vyema kuuacha upate hewa ili kuondoa ile harufu ya ndani kama unaweza toa kila kitu ndani na uache ukae kwenye upepo, unaweza kuuanika nje ndani ndani nje kwenye kamba.

 • Perfume

Pulizia perfume kwenye kitambaa kidogo inaweza kuwa ribbon, iache ikauke na hewa kisha kichukue kitambaa hiko na ukiweke chini ya handbag yako na handbag yako itanukia fresh.

Well hopefully tumekusaidia lakini pia share na sisi je huwa unafanyaje kufanya mkoba wako unukie vyema.

Related posts

4 Comments

 1. buy magnum research guns

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kufanya-mkoba-wako-unukie-vizuri/ […]

 2. Pineapple Pound Cake 1g Diamonds

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kufanya-mkoba-wako-unukie-vizuri/ […]

 3. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kufanya-mkoba-wako-unukie-vizuri/ […]

 4. 해외거래소상장

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kufanya-mkoba-wako-unukie-vizuri/ […]

Comments are closed.