SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Ya Kustyle Hijab Yako Msimu Huu Wa Joto
How to Rock

Jinsi Ya Kustyle Hijab Yako Msimu Huu Wa Joto 

Jua linawaka na joto linachukua nafasi yake kwa kasi, na huu mwezi mtukufu unaweza kughairi kutoka nje au kwenda kazini kwa hali hii ya hewa. Lakini vipi utaacha kwenda kazini kwa sababu tu jua/joto kali? huwezi right? unatoka hivyo hivyo tu huku ukiwa umevaa hijab zako joto linakupiga, jasho na mchoko wa swaum lakini kumbe una weza kuepuka kuchoka sana kwa ku style mavazi yako vizuri, una weza kujiuliza una wezaje kufanya hivyo? Jua au jasho litakuchosha sana endapo utavaa mavazi mazito au ya rangi fulani mfano rangi nyeusi lakini ukivaa nguo zaina fulani una weza ukapunguza kwa kiasi fulani joto na kuchoka.

Cotton Scarf/Hijab – Cotton hijabs ni nzuri kipindi hiki cha jua na joto kwa sababu ni nyepesi na ni rahisi pia kupatikana chagua rangi ambazo haziakisi jua (click hapa kujua rangi za hijab nzuri)

Suruali za Cotton na Light Jeans – Kama ni mpenzi wa jeans tuna kushauri uchague zile ambazo zinavutika (itakupa urahisi katika kutembea) na zenye light color ambazo haziwezi kuhakisi jua.

Suruali za Cotton au zile nyepesi kama za Cotton nazo zinafaa sana katika simu huu zina weza zikawa wide legs, flares, high waist etc you know, just to keep it stylish & fashionable

Long Cotton Dress & Skirts – Dresses na skirt zinakupa ile feminine look na kizuri zaidi ni kwamba una weza kuzistyle namna nyingi tofauti tofauti ukiwa tu unajua how to layer them na layer them smartly (layering ni kuvaa nguo juu ya nguo eg unapovaa gauni, ukavaa na koti juu yake hio inaitwa layering)

  • Kimono – jinsi ya kulayer gaun, skirt au suruali inafaa na kimono lakini vizuri ukachagua kimono chepesi na chenye rangi nzuri

Skirts ni rahisi kuvaa kipindi hiki cha joto una weza kuvaa na simple shirt, blouse top etc na ukawa good to go

Ps: usisahau ku accessorize mtoko wako kwa ajili ya super chic look

 

Related posts

3 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kustyle-hijab-yako-msimu-huu-wa-joto/ […]

  2. Penis Envy Mushroom

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kustyle-hijab-yako-msimu-huu-wa-joto/ […]

  3. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Here you can find 92505 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kustyle-hijab-yako-msimu-huu-wa-joto/ […]

Leave a Reply