Baada ya weekend moja tulivu leo ni mwanzo wa wiki nyingine na muda wa kwenda ofisini
Sketi ni vazi ambalo wanawake wengine wanapenda kuvaa wakiwa kazini, na leo tunaleta namna unavyoweza ukastyle sketi ya penseli yaani “Pencil Skirt”.
- Unaweza ukavaa skirt yako na blouse za chiffon ukachomekea au la ukiwa na heels 👠zako fupi na ukaonekana simple yet classy. Pia kumatch rangi ya outfit yako sio mbaya.
- Unaweza ukavaa Pelpum Top huku ukiwa ume Accessorize Pensil Skirt outfit yako kwa kuvaa saa na miwani au hata skarf yenye simple colors sio za ku’shout sana
Unaweza  Ukivaa Sketi yako na Pull neck tops zinakupa a youthful look. Try it na hautajutia. Inaweza kua long sleeve ama short, kutegemea na wapi unafanya kazi.
- Sketi yako ikiwa ndefu sana sio lazima uvae na top au shati refu, keep it simple. Uaweza kuvaa top fupi na kupandisha skirt hadi tumbo and still look Amaziingg
More Tips
- Handbags ni muhimu kwa kuendea ofisini, sio tu kwa kuhifadhia simu ama notebook bali pia kucomplete muonekano wako
 Viatu black na nude havitakiwi kukosekana kwenye wardrobe yako, maana unaweza kuvalia na outfit rangi yotote na ukapendeza- Unaweza ukavaa skirt yako na a simple bomber jacket and still rock your look.
Imeandikwa na @sof-iyah
Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…