SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUSTYLE THE VELVET TREND
Mitindo

JINSI YA KUSTYLE THE VELVET TREND 

Imekuwa muda sasa toka tuanze kuona mtindo wa kitambaa cha velvet ukirudi kwa kasi, na sasa its safe to official say Velvet is a new satin. kama ulikua hujui now you know ni kitu gani kina trend na una takiwa ukiongeze katika kabati lako, kama ni velvet dress, velvet blazer au viatu vya velvet. hivi ndivyo namna chache unavyo weza ku style trend hii

kitambaa vya velvet ni soft & cozy ni nguo nzuri kama utavaa kipindi cha baridi, japo kuwa kuna skirt na viatu vya velvet ambavyo una weza kuvaa kipindi chochote

the velvet dress

outfit7-8-640x960

outfit10-8-640x960

outfit13-4-640x960

outfit14-4-640x960

Velvet Skirt

outfit6-8-640x960

velvet shoes/ viatu vya velvet

outfit2-8-640x960 outfit5-8-640x960

Related posts