Unaweza ukawa nalo tu kwenye kabati ukiwa hujui ulivalie na nini au ulivae vipi, bwanga linaweza kuvaliwa kwa namna mbali mbali na sasa hizi ndio zinaanza kurudi kwenye trend, Valentine ina karibia kama hutaki kuvaa ki valentine valentine basi vaa bwanga lako jeupe ki namna hii,

Changanya na rangi nyingine

IMG-20151123-WA0023 My-Style-Dodos-Uvieghara-Bellanaija-December2014043

Nyeupe kwa nyeupe

3933987_LB IMG-20151123-WA0026-1

Blue

2014-young-hollywood-awards-embed-650 MG_5538b