SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Ya Kuvaa Heels Na Socks
How to Rock

Jinsi Ya Kuvaa Heels Na Socks 

Mara nyingi huwa tunasema ni vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha muonekano wako kabisa kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, well japo kuna shoe accessories ambazo unaweza kuziongezea kubeba muonekano wa viatu vyako lakini pia unaweza kujaribu kwa kuvaa heels zako na socks.

Tumeona watu maarufu na fashionista’s mbalimbali wakiwa wamevaa style hii ya socks na viatu virefu, tumependa kwamba ni kitu kirahisi kufanya na hasa katika msimu wa baridi zinasaidia kupata joto miguuni well kwa hapa Tanzania tumewaona watu kama Miriam odemba, Muigizaji Jacqueline Wolper na fashion blogger Azure Kange wakiwa wamejaribu style hii

Kuna namna nyingi za kuvaa style hii mwanamitindo Miriam Odemba yeye aliamua kuvaa pumps zake na socks wakati ana toka usiku alivaa gilter jacket na distressed jeans akamalizia na white socks na metallic pumps, hii look inaweza kuvaliwa kwenye date au girls night out. Unaweza kuona namna ambavyo socks zimeleta utofauti katika muonekano wake.

Muigizaji Jacqueline Wolper yeye aliamua kutupa namna nyingine ya ambavyo unaweza kustyle socks zako na pumps ambapo yeye aliamua kuvaa style hii na kitenge, ambapo tumependa namna alivyo jaribu kuchanganya vazi la utamaduni na trend za dunia, tumeona akiwa amevaa mara mbili ambapo mara ya kwanza alivaa na

short skater skirt yenye koti lake juu na blauzi nyeusi kwa ndani alimalizia muonekano wake na belt nyeusi na pumps nyeusi na socks nyeusi.

Mara ya pili Jacque alivaa kitenge blouse na bodycorn skirt nyeusi akamalizia muonekano wake na kiremba kinacho endana na blouse yake na miwani, hereni za ring kubwa na black pumps na socks, we love love love namna ambavyo Jacque ana jitahidi kufanya vitu vya tofauti.

Fashion blogger Azure Kange yeye aliamua kuwa business smart kwa kuvaa all black outfit na pumps nyeusi na socks nyeusi.

Unaweza kuvaa style hii ukiwa unatoka na marafiki au kazini inategemea na jinsi ambavyo ungependa ku-style lakini ni nzuri zaidi kama kutakuwa na baridi maana socks zinaleta joto, ukivaa wakati wa joto unaweza kuvuja jasho miguuni, kama utajaribu kustyle heels zako na socks usisite kututag, na sio lazima heels ziwe pumps unaweza kuvaa na open heels pia.

Related posts

6 Comments

 1. How to buy Blue Meanie Mushrooms (Panaeolus Cyanescens)

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-heels-na-socks/ […]

 2. พนันบอลออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-heels-na-socks/ […]

 3. click resources

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-heels-na-socks/ […]

 4. Residual income

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-heels-na-socks/ […]

 5. hairy bbw getting dressed cam

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-heels-na-socks/ […]

 6. ephedrine for sale

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-heels-na-socks/ […]

Comments are closed.