Kitu ambacho kipo kwenye trend ni Hijab na raba, ni kitu ambacho si cha ajabu na wala hatuwezi kusema kime zoeleka. Mara nyingi huwa tunaona wadada wakivaa abaya au hijab wana vaa na sandals, viatu virefu au simple shoes lakini kwa sasa wengi hupenda kuvaa raba ile sneakers au raba aina nyingine zozote
hapa amevaa jumpsuit nyeusi na kimono ame valia ana raba nyeupe
one color suit na raba
maxi skirt, button up shirt na raba
unaweza kuvaa abaya ya rangi moja au rangi tofauti tofauti na raba na uka pendeza sana
ame match raba mkoba,kimono na mtandio
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-hijab-na-raba/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 89027 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-hijab-na-raba/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jinsi-ya-kuvaa-hijab-na-raba/ […]