SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUVAA SUIT MOJA KWA STYLE TATU KUTOKA KWA MARTIN KADINDA
Mitindo

JINSI YA KUVAA SUIT MOJA KWA STYLE TATU KUTOKA KWA MARTIN KADINDA 

Mbunifu Martin Kadinda ame tuonyesha namna ambavyo una weza kuvaa suit moja lakini kwa namna tofauti tofauti, and we must say “learn from Martin” maaana ame pendeza mno

Hapa Martin ame vaa full suit yake akiwa ame valia na bow tie ambayo ina draft za mbali zilizo endana kidogo rangi na suit na shati jeupe alilo livaa14276450_1272733729437531_8262262397297754112_n

Hapa martin ali – switch shati ambapo alivaa shirt la pink na akavalia porka dot tie ya rangi  Burgundy na surua;i inayo endana nayo rangi kidogo14369162_350028828671892_416756342_n

Hapa martin alirudia shati alilo livaa mwanzo na bow tie lakini akaongezea suspender  ameonekana smart huu ndio muonekano tulio upenda zaidi14374372_210085866075488_1208255280_n

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

Related posts