SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JOKATE IN AQUA BLUE & PINK
I'm A Celebrity

JOKATE IN AQUA BLUE & PINK 

Jokate ana represent hisia (feeling) za wasichana wengi duniani, pale wanapo amka na kuamua ku-look good for no reason, wanapo amua kujipamba na kuvaa vizuri kwa ajili yao. wanapo hamua kuamka kuvaa kupendeza na kwenda sehemu kupiga picha just because they feel like it. Jojo ame look stunning katika hizi picha tume penda make up, rangi za nguo na jinsi alivyo zi style

ame vaa long pink blazer na aqua lace trouser

14582326_1252208838184128_3540485505101594624_n

Nude turban na hereni zenye rangi ya suruali kidogo15101574_1695147467480080_6060677361257414656_n

baby pink pumps ame malizia muonekano wake na bold red lipstick, colorful yet chic 15258731_1239231536099564_638306988580667392_n

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts