Jokate Mwegelo jana ame vaa vazi kutoka kwa mbunifu Husna Tandika au hna.dress2impress, she looked flawless ndani ya hili vazi na hivi haja post muda mrefu basi ame tu suprise balaa,

13694809_937338219728546_168965704_n

Vazi hili ni crop top ya lace na skirt vyote vya rangi ya pink, ni kama photo shoot fulani ambapo ana introduce product yake mpya we love the look

13696894_964572086982411_1543412559_n