SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jokate Mwegelo Amekuwa Featured In Elle Magazine South Africa
Habari

Jokate Mwegelo Amekuwa Featured In Elle Magazine South Africa 

Aliyekuwa Miss Tanzania No2,2016 na sasa ni Mfanyabiashara Jokate Mwegelo ambae ana sifa nyingi za kuzitangaza Nchi yetu imeonekana huu ni mwaka wake wa maendeleo kwanza kwa kufanikiwa kutajwa Kama Billionaire wail tabiliwa kutoka Tanzania ambao wanapo chini ya Miami 30 na gazeti la Forbes, Lakini pia jana Jokate kupitia account zake katika mitandao ya Kijamii ametangaza kuwa featured na gazeti la Elle Kutoka South Africa

Katika Jarida hilo Jokate ameonglea kuhusu mavazi yake amesema kutokana na kazi zake za kijamii mara nyingi analazimika kuvaa kawaida kama, jeans, white tee na sneakerz lakini pia anaweza kuvaa super killer outfits na full makeup on, kwa ujumla anapenda kuonekana neat na clssy. Lakini pia anpenda sana kuvaa power suit na mtu wake anaemuaminia ni mbunifu kutoka Tanzania Ki2pe. Wameongelea sehemu anazo penda kufanya shopping ambapo amesema kwa handmade accessories huwa anashop kariakkoo lakini pia anapenda kufanya shopping popote.

Tulicho kipenda kutoka kwenye hii shoot na hii feature kutoka kwa Jokate na Elle Magazine South Africa ni kwamba Jokate ametumia Local Brands kutoka Tanzania ambapo ametumia upcoming designers kama Ki2pe na Bonuzi, ametumia nafasi yake kutangaza wabunifu wetu na vya kwetu. Way to Go Jokate we rise by lifting others.

 

 

Related posts

2 Comments

  1. Bassetti Bettwäsche Outlet bestellen

    … [Trackback]

    […] Here you will find 80522 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-amekuwa-featured-in-elle-magazine-south-africa/ […]

  2. สล็อตเว็บตรง

    … [Trackback]

    […] Here you will find 88182 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-amekuwa-featured-in-elle-magazine-south-africa/ […]

Leave a Reply