Ni mjasiriamali, Miss Tanzania 2006, Muigizaji na mwanamuziki, Anaitwa Jokate Mwegelo au unaweza kumkatisha kumuita Jojo au Kidoti kama ambavyo anajulikana na wengi, Tumeanza kumjua Jokate mwaka 2016 ambapo alishiriki katika Shindano la Miss Tanzania na kufanikiwa kushika namba 2, Kuanzia mwaka 2006 Jokate amekuwa anikua katika kila kitu akili, ubunifu lakini pia Ki Fashion.
Alivyo julikana Kama Miss Tanzania Jokate alianza kupata Modeling Gigs na style yake ilikuwa colorful na alikuwa kivas accessories nyingi kipindi hiko
Mwaka 2012 Jokate ali launch Kampuni ya nywele zake ambazo alizipa jina la KIDOTI tunadhani hii ilitokana na style ya nywele ambayo alikuwa anapenda kuiweka ikapewa jina KIDOTI na akaamua kuanzisha kampuni yenye jina hilo
She always trying to be different lakini Pia kuwa comfortable na kile anacho via, hizi ni style zake katika red carpet ambazo kuna zilizo tuvutia na zipo ambazo alikosea
Na huyu ni Jokate wa sasa
when you talk about started from the bottom now we are here, please include her name
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-fashion-evolution/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-fashion-evolution/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-fashion-evolution/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-fashion-evolution/ […]