Jokate Mwegelo tulianza kulisikia jina hili mwaka 2006 ambapo alishiriki Miss Tanzania na kushika namba mbili ukiachana na umiss Jokate ni mjasiriamali, model, muigizaji na mwanamuziki. Jokate ana tabia ya kurudia nguo lakini huwa ni Stylish sana pale anapo zirudia huwezi kutambua. Mara nyingi amekua akirudia nguo bila ya watu kujua kama ni ileile aliyo ivaa siku nyignine na leo ana tuonyesha jinsi ya ku re-rock hii gauni aliyo ivaa mwaka jana katika kill music awards
hapa akiwa amelivaa gauni kama gauni na kwenda na;o kili music awards
wakati hapa amelivaa kama kitupio au kimono juu ya gauni lingine
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-malkia-wa-ku-re-rock/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-malkia-wa-ku-re-rock/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-malkia-wa-ku-re-rock/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-mwegelo-malkia-wa-ku-re-rock/ […]