SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JOKATE NA GAUNI KUTOKA KWA MBUNIFU ANAE CHIPUKIA
Mitindo

JOKATE NA GAUNI KUTOKA KWA MBUNIFU ANAE CHIPUKIA 

Jokate au Jojo kama ambavyo wengi tunapenda kumuita ni msichana ambae ana penda sana mitindo, iwe ni kutoka kwa mbunifu mdogo au mkubwa ili mradi ni kitu kizuri basi ata kisupport na kukivaa.

Hivi karibuni kulifanyika Swahili Fashion Week Awards ambapo mbunifu anae chipukia kwa kasi Upendo alishinda tuzo ya mbunifu bora anae chipukia.  Kwa kuliona hilo jokate alimsupport Upendo kwa kuvaa moja kati ya gauni ambalo Upendo amelibuni na kulishow case katika Swahili Fashion Week siku hiyo.

runway

gauni hilo katika run way

kate

likiwa limevaliwa na jokate

jojo

Related posts

1 Comment

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jokate-na-gauni-kutoka-kwa-mbunifu-anae-chipukia/ […]

Leave a Reply