Je mme notice kuhusu hii trend ya kuto kuvaa sidiria? ilianza huko ulaya kwa sasa tunaona ime tufikia na hapa kwetu. Kwa ulaya tumeona watu mbali mbali kama
Kim Kardashian
Kendall Jenner
Kylie Jenner
Na kwa hapa kwetu Tanzania wapo ambao tume waona wame vutiwa na trend hii
Jokate Mwegelo ameonekana ku show off her perfect boobs katika vest nyeusi akiwa katika mashindano ya dance 100 100
mama wa mtoto mmoja Irene Uwoya nae hakutaka kupitwa na trend hii ame vaa gauni kata mikono bila Blazia
Official Nandy nae ame ahow off kifua chake kwa kuvalia vest bila brazia na high waist jeans
Tuambie Unaionaje Trend Hii Yay Or Nay kupita account zetu
Instagram – Afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – Afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…