Ni alhamisi nyingine tena tunaelekea kumaliza kuhusu kujua aina ya mwili wako na mavazi ya kuvaa, tulianza na pear body type na apple tukaandikia pia wale wenye miili ya pembe tatu ( triangle ) na leo tunaongelea wenye umbo la rural au rectangle kwa kiswahili tunasema mstatili
- Jua Aina Ya Mwili Wako Na Mavazi Yanayo Kufaa – The Triangle Body Type
- Jua Aina Ya Mwili Wako Na Mavazi Yanayo Kufaa – Pear and apple
Wenye umbo la aina hii upana wa mabega, kiuno na hips viko sawa, best assets kwako ni miguu na mikono. Fashion Goal ni kuonyesha miguu na mikono.
Nini ufanye na nini usifanye ukiwa na umbo la aina hii
Kama una mwili wa aina hii basi unashare na muigizaji Cameron Diaz, mwanamuziki Gwen Stephan kwa Tanzania tunaweza kusema Ruby.
Week ijayo tutamalizia na body shape iliyobaki tuambie kama hii series ya body types imekusaidia na ungependa tuonelee nini tena?
Related posts
HOT TOPICS
As long as hakuna Aya,Mstari Au Kifungu Kinachosema “Kuto Kuoga Ni Dhambi Au Kosa Kisheria” Then Perfume na Bodyspray Tu Zinatosha Msimu Huu
FollowDown To Very Little Details, Read More Here 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/IeYufSGMgy https://t.co/IeYufSGMgy
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…