SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jua Aina Ya Mwili Wako Na Mavazi Yanayo Kufaa
Dondoo

Jua Aina Ya Mwili Wako Na Mavazi Yanayo Kufaa 

Japo Dunia ya sasa wengi hawaangalii aina ya miili yao, na wengi wanasema ukisubiri hadi upungue au unenepe ndio uvae utachelewa. Ni kitu kizuri hasa kutokana na kwamba fashion haina mipaka na kwamba ukiridhika na nafsi yako basi inatosha lakini si mbaya kama tukikupa tips za nini kinafaaa kuvaliwa na mwenye umbo la aina ipi ili kukuwezesha kujua zile basic items zako unazo hitaji ni za aina ipi,

Kuna aina mbalimbali za miili / maumbo lakini kuna zile tano (5) ambazo ndizo famous sana nazo ni

 

 

 • Umbo Aina Ya Apple 

 • Aina ya umbo hili huwa na mkusanyiko wa uzito maeneo ya tumboni ( juu ya hips)
 • Huwa na mabega mapana
 • Best Asset – Miguu
 • Fashion Goal : Kuficha mkusanyiko maeneo ya tumboni wakati ukionyesha miguu yako na kutengeneza small waist.

Nini Ufanye Na Nini Usifanye Ukiwa Na Umbo La Aina Hii 

 

Watu maarufu wenye aina ya hili umbo mmoja wapo ni mwanamuziki Adele lakini kwa hapa Tanzania tunaweza kusema Shilole anaingia hapa

 • Umbo aina ya pear 

 • Wenye aina ya miili huwa na sehemu ya chini ya maungio yao (kuanzia kiunoni kwenda miguuni) papana kuliko kiunoni kupanda juu ( yaani kiunoni kuelekea kichwani
 • best feature yako ni kiuno na mabega.
 • Fashion Goal : kutilia mkazo kiuno chako kionekane pamoja na mabega lakini pia kuonyesha hips

Umbo hili ni ndio umbo ambalo linatamba sana kwa sasa, watu maarufu wengi wanalo akiwepo Kim Kardashian na hapa Tanzania tunae Wema Sepetu

Aina nyingine tatu zitafuata next week

Related posts

4 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Here you will find 68553 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jua-aina-ya-mwili-wako-na-mavazi-yanayo-kufaa/ […]

 2. Darknet market links list 2023

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jua-aina-ya-mwili-wako-na-mavazi-yanayo-kufaa/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Here you will find 64175 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jua-aina-ya-mwili-wako-na-mavazi-yanayo-kufaa/ […]

 4. buy psilocybin mushrooms in denver​

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jua-aina-ya-mwili-wako-na-mavazi-yanayo-kufaa/ […]

Comments are closed.