SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Julitha Kabete Amekuwa Posted Na Brand Kubwa Ya Fashion Nova
Mitindo

Julitha Kabete Amekuwa Posted Na Brand Kubwa Ya Fashion Nova 

Fashion Nova ni brand ya mavazi ambayo ilianza na kukua kupitia Instagram, Celebrities mbalimbali wameonekana kupenda na kuvalishwa na brand ya Fashionova the best product kutoka kwa hii brand ni jeans zao from what we hear wana jeans ambazo zinaweza kum-fit mwanamke wa kila umbo tunaweza kukubaliana na hilo as tumesha waona watu maarufu kama Cardi B,

Amber Rose

 

 

 

 

 

Black Chyna,

Kylie Jenner & the list go on.

 

wakiwa wame rock outfit kutoka kwa Fashion Nova na jeans kutoka kwao ambazo zime wa fit well katika maumbo yao.

Kwa Tanzania inaonekana tume mpata a nova babe & thats non other than Miss Tanzania Africa & Appointed Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete.

Tulianza kuona mlolongo wa post zake ambapo alikua ana hash tag #novabebe lakini na kuwa tag fashion nova katika picha zake kama ambavyo wanavo fanya Nova babes wote wanao fanya kazi na kampuni hii wakiwepo na tulio wataja hapo juu.

Fashion Nova wana blog ambapo huko ndipo unaweza kuagiza nguo unayo itaka wanakuwekea size na kila kitu utakacho hitaji kwenye kununua mavazi na wana shift world wide, labda kutoka na hicho ndio maana wana tafuta brand ambassadors kutoka Nchi mbalimbali Duniani na Tanzania ameonekana Julitha Kabete. Na jana Fashion Nova wame mpost Julitha na kufanya tuone its official kwamba wana fanya nae kazi

 

Mwaka jana Fashion Nova walishika nafasi ya nne kati ya brand za fashion zilizo ongaza kuwa googled wakati Gucci, Louis Vuitton na Supreme zikishika nafasi za juu, Fashion Nova imeshinda brand kubwa kama Chanel,ves Saint Laurent, Christian Dior and Dolce & Gabbana Unaweza kuona ni jinsi gani brand hii ni kubwa.

Hongera kwa Julitha na tutajitahidi kumtafuta kumpata ili kujua ilikuaje hadi akafanya kazi na brand hii kubwa.

 

Related posts

6 Comments

  1. article

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/julitha-kabete-amekuwa-posted-na-brand-kubwa-ya-fashion-nova/ […]

  2. Buy DMT Vape pen for Sale New South Wales

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/julitha-kabete-amekuwa-posted-na-brand-kubwa-ya-fashion-nova/ […]

  3. buy adderall online

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/julitha-kabete-amekuwa-posted-na-brand-kubwa-ya-fashion-nova/ […]

  4. Texas Yellow Caps Mushrooms near me

    … [Trackback]

    […] There you can find 51258 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/julitha-kabete-amekuwa-posted-na-brand-kubwa-ya-fashion-nova/ […]

  5. ประกันรถยนต์

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/julitha-kabete-amekuwa-posted-na-brand-kubwa-ya-fashion-nova/ […]

  6. right here

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/julitha-kabete-amekuwa-posted-na-brand-kubwa-ya-fashion-nova/ […]

Comments are closed.