SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Juma Jux Birthday Party Fashion Review
Mitindo

Juma Jux Birthday Party Fashion Review 

Weekend ilikuwa na mengi lakini mojawapo ni kuwa na birthday ya msanii wa bongo flava Juma Jux, wasanii na watu maarufu mbalimbali walihudhuria na sisi jicho letu lilikuwa kwenye mavazi, wengi walijitahidi tunadhani theme ya birthday ilikuwa black kwa sababu wengi walionekana in black outfits

  • Mlengwa Juma Jux

 

Juma alivaa black & white tuxedo kutoka kwa mbunifu chidy_designs, we all know Juma doesn’t play linapokuja katika swala la appearance yake iwe kwenye event kubwa, casual au hata kwenye stage he just know what works for him, well tumependa he looked smart and classy.

  • Vanessa Mdee a.k.a Vee Money

Vanessa alivaa a little sexy black dress iliyomkaa vyema na strap sandals amemalizia muonekano wake na necklace na blonde long hair do, well she didn’t want to outshine birthday boy and it was a birthday dinner. they say couple who slay together stay together

  • Lulu Diva

 

yeye aliva a embellished silver & black dress ambayo inatuma some balmain vibes, amemalizia muonekano wake na strap black & silver shoes tunaweza kusema the dress imefunika viatu, the dress is too good for these shoes amekuwa styled na Macrida Joseph, haja chukiza but chaguo la viatu sio pendwa kwetu.

  • Maua Sama

alichagua bright blue suit by brightmasambu,   she looked good kama unamfuatilia Maua she barely wear color so anapovaa rangi huwa anashtua kidogo na kuonekana tofauti she opted for blush pink pumps na akamalizia muoenekano wake na wave hair, she looked good except for the hair and under garment juu real didn’t fit in.

 

  • Gigy Money

 

What can we say this outfit looks kama hii mifuko ya rambo when you opt for leather be sure kuchagua ile ambayo ni nzito this kind of leather looks cheap and tacky, the hair is on point & makeup done well, on legs side its just Gigy being Gigy.

photo credit – @chriss_r7

 

Related posts

3 Comments

  1. lsm99

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/juma-jux-birthday-party-fashion-review/ […]

  2. Muha meds disposable

    … [Trackback]

    […] Here you can find 44910 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/juma-jux-birthday-party-fashion-review/ […]

  3. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/juma-jux-birthday-party-fashion-review/ […]

Comments are closed.