Juma Mussa a.k.a Jux ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka hapa hapa Tanzania mwishoni mwa mwaka jana Jux alianzisha Clothing Line yake iliyo kwenda kwa a.k.a yake nyingine ya “African Boy” kwa kipindi hiko Jux alianza na T shirts na Kofia, Lakini kwa sasa Jux ana waletea mzigo mpya wa bag pack na sneakers ambazo ameanza kuzionyesha katika ukurasa wake wa Instagram.

12912445_1726079607677000_713633396_n 12940768_613413275480975_678303950_n

Bado haijajulikana bei na lini zitaanza kuuzwa lakini hongera kwake Jux kwa kuendelea kuleta vitu vipya

Comments

comments