SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kajala Masanja Wore 3 Dresses On Her Birthday Photo shoot And We Are Here To Judge
Mitindo

Kajala Masanja Wore 3 Dresses On Her Birthday Photo shoot And We Are Here To Judge 

Muigizaji Kajala Masanja juzi jumamosi ameongeza mwaka mwingine wa kuwepo Duniani, well hatujui ametimiza miaka mingapi all we know ni kwamba ame sheherekea kumbukumbu ya tarehe ya kuzaliwa kwake. Kama ambavyo imezoeleka kwa watu maarufu wengi kufanya photo shoot kwa ajili ya birthday’s zao na Kajala nae alifanya hivyo na yeye alivaa nguo 3 ooh yes.

Hii ndio dress ambayo ilionekana kuvutiwa na wengi ni off shoulder dress ya gray ambayo ina detachable train kwa pembeni, lakini pia gauni hii ina mpasuo kwa pembeni, we love the dress japo unaweza kutoa gauni kama tatu hivi katika hili gauni kwake imekaa vizuri bila kuonekana too much, fit perfect & the pose added credit on the gown, amemalizia muonekano wake na blonde bob wig na red lips. Snatched. 

Hapa alivaa the LBD (little black dress) ambayo ilikuwa  high low ame show some legs, tumependa alivyo style na fur piece ya gray na statement necklace alimalizia pia na Bob wig na red lips na nude pumps, The colors compliment each other perfectly & she look like a sexy grown woman that she is.

Hapa alichagua kuwa colorful na neon & nude  turtleneck dress, we love the colors na kwamba alimua kutokuwa na neutral colors tupu tungependa kuona fittings zake akiwa hajalirusha lakini picha ambayo ipo ni hii tu, well amemalizia muonekano wake na black wig ambayo iliweka uhiano na katika rangi & make up was on point

Tunaweza kusema Kajala alijiandaa katika hii photoshoot she dressed well, tupe maoni yako wewe unaonaje hii photo shoot ya Kajala vazi lipi limekuvutia na lipi umeona hapana hujaridhika nalo?

Related posts

5 Comments

 1. window installer

  … [Trackback]

  […] Here you will find 25224 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kajala-masanja-wore-3-dresses-on-her-birthday-photo-shoot-and-we-are-here-to-judge/ […]

 2. look at this site

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kajala-masanja-wore-3-dresses-on-her-birthday-photo-shoot-and-we-are-here-to-judge/ […]

 3. why not check here

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kajala-masanja-wore-3-dresses-on-her-birthday-photo-shoot-and-we-are-here-to-judge/ […]

 4. bandartogel77

  … [Trackback]

  […] Here you will find 93592 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kajala-masanja-wore-3-dresses-on-her-birthday-photo-shoot-and-we-are-here-to-judge/ […]

 5. see here

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kajala-masanja-wore-3-dresses-on-her-birthday-photo-shoot-and-we-are-here-to-judge/ […]

Comments are closed.