Ilikua ni weekend yenye mambo mengi mengi, ikiwemo birthday ya mama diamond platnumz, sherehe ya miaka kumi ya christian bella na mitoko ya hapa na pale. Lakini hizi zilitikisa kidogo huko mitandaoni kwa namna moja au nyingine ziliwavutia wengi tuna weza kusema ndizo zilizo postiwa sana kwenye mitandao ya kijamii na zina vutia pia
Liliane Masuka mtangazaji wa kipindi cha fashion kiitwacho Storm alipendeza sana katika hii gauni nyekundu na alinoga zaidi alivyo weka nywele zake
Mwamvita Makamba alipendeza ndani ya hii backless dress kutoka kwa kiki zimba
Mama diamond katika birthday yake alivaa hii shining dress alipendeza mno
Wema Sepetu nae alivunja record ya kupendeza katika christian bella party, hair style ili mnogesha mno pamoja na hio choker
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 79362 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kali-kutoka-kwa-wemamwamvita-na-mama-diamond/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kali-kutoka-kwa-wemamwamvita-na-mama-diamond/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 18002 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kali-kutoka-kwa-wemamwamvita-na-mama-diamond/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kali-kutoka-kwa-wemamwamvita-na-mama-diamond/ […]