mwenye umbo la mstatiri – hawa ni wale wenye mwili sawa juu na chini kuanzia mabegani, hadi chini kiunoni kwenda chini mfano G nako, Ali Kiba etc hii ipo tofauti na ile ya kwanza hii utataka ku draw attention juu kwenye mabega unahitaji kutanua au kukuza mabega
- Vaa makoti yenye mabega makubwa au zile zenye pads kwa ndani hizi zitasaidia kutanua mabega yako lakini angalia zile zinazo endana na mwili wako usivae kuubwa kupita mwili wako utachekesha.
Kama Una Mwili Kama Wa Diamond Platnumz Tips Hizi Zitakusaidia Katika Muonekano Wako
- Vaa nguo zenye mistari mlalo juu hii itasaidia kukuza muonekano wako wa juu lakini pia unaweza ku accessorize na scarf hii pia itasaidia ku draw attention juu.
- Vaa suruali inyo kutosha isiwe ndogo wala isiwe kubwa iwe fitted na mwili wako
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kama-una-umbo-kama-la-ali-kiba-tips-hizi-zitakusaidia-katika-muonekano-wako-rectangular-body-type/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kama-una-umbo-kama-la-ali-kiba-tips-hizi-zitakusaidia-katika-muonekano-wako-rectangular-body-type/ […]