Ikiwa bado ina tengenezwa na bado haija toka sisi kama fashion lover tayari we are excited kuiona hii movie ya Ocean Eight ambapo kuna mastar mbali mbali kama Fashion Icon Rihanna, Anne Hathaway, Sandra Bullock, Mindy Kaling, Sarah Paulson, Cate Blanchett, Nini kime tufanya tuwe excited na movie hii ni yale ma tukio ambayo wana ya release mitandaoni ili kuweka attention ya nini kitakuepo katika movie hio, na we must say its every interesting level of slayange
Long french coats, wide legs, heels boots to die for
tunapenda kusema hii ni moja kati ya movie we are looking foward to watch
ina semekana pia Vogue editor Anna Wintour’s ana husika katika movie hii lakini kitu amvacho kipo interested zaidi kime tufanye tuzidi kuwa excited ni involvement ya Kim Kardashian na wadogo zake Kendall na Kylie Jenner, Imagine muunganiko wa watu hawa na ku slay kwao.
We Cant Wait
Je utapenda kuingalia?
Tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kama-wewe-mpenzi-wa-fashion-utaipenda-ocean-eight-movie/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 33950 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kama-wewe-mpenzi-wa-fashion-utaipenda-ocean-eight-movie/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kama-wewe-mpenzi-wa-fashion-utaipenda-ocean-eight-movie/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kama-wewe-mpenzi-wa-fashion-utaipenda-ocean-eight-movie/ […]