SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kanye West Amzawadia Rais Yoweri Museveni Viatu Vya Yeezy Vyenye Thamani Ya Sh.503,734
Mitindo

Kanye West Amzawadia Rais Yoweri Museveni Viatu Vya Yeezy Vyenye Thamani Ya Sh.503,734 

Rapper Kanye West yupo Nchini Uganda kwa matembezi na kukamilisha Album yake, Kanye alifika Nchini Uganda akiwa pamoja na mkewe, Kim Kardashian na watoto wao. Jana Kanye alipata nafasi ya kumtembelea Rais wa Nchini hio katika Ikulu yake Nchini humo waliongea na kubadilishana zawadi, ambapo Kanye alizawadia Rais Yoweri Museveni viatu aina ya Adidas  Yeezy Boots zenye thamani ya $220 sawa na shilingi za kitanzania 503,734/-

Hizi ni new collection ya Adidas na Yeezy na zimetoka september 21 mwaka huu tunaweza kusema zina week kadhaa tu tangu zitoke, zinaitwa YEEZY Boost 350 V2 “Triple White,” aka “Cream”, unaweza kusoma key feature za viatu hivi na sifa zake hapo chini

Source: footwearnews.com

Rais Museveni atakuwa moja kati ya watu wachache ambao wamepata nafasi ya kumiliki viatu hivi mapema, lakini pia viatu hivi vilisainiwa na Kanye West na Mkewe Kim Kardashian,

Rais Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter aliwashukuru Kanye na mkewe kwa kutembelea Uganda lakini pia kwa zawadi waliyompa

Lakini Je unafikiri Rais Museveni atavivaa hivi viatu? kama ndio je atavivaa wapi? kama hapana kwanini?

 

Related posts

2 Comments

  1. window installer

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanye-west-amzawadia-rais-yoweri-museveni-viatu-vya-yeezy-vyenye-thamani-ya-sh-503734/ […]

  2. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanye-west-amzawadia-rais-yoweri-museveni-viatu-vya-yeezy-vyenye-thamani-ya-sh-503734/ […]

Comments are closed.