Kanzu ni vazi linalo valiwa sana Africa, ambapo vazi hilo huvaliwa na wanaume. Kanzu ina urefu wa kufika mpaka chini kwenye miguu na pia unaweza kulivaa vazi hili kwa style mbali mbali. Lina weza kuvaliwa na kikoti, hivi hivi na balagha shia au hata kiremba kilicho alalishwa kwa kuvaliwa na vazi hili.
basi tuone hawa wenzetu walivo li style hili vazi
Martin kadinda yeye amevaa vazi hili kwa kuvalia na balaghashia, kikoti na miwani “classic”
Idris yeye kalivaa tu “casual” akiwa amevalia na suruali ndani.
Alikiba ame vaa kanzu na kutupia na scarf kwa juu “stylish”
Ommy Dimpoz na Diamond waliamua kuvalia na kile kiremba kilicho halalishwa kuvaliwa na vazi hilo.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanzu-style-kutoka-kwa-idrisdiamondalikiba-na-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanzu-style-kutoka-kwa-idrisdiamondalikiba-na-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanzu-style-kutoka-kwa-idrisdiamondalikiba-na-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanzu-style-kutoka-kwa-idrisdiamondalikiba-na-ommy-dimpoz/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kanzu-style-kutoka-kwa-idrisdiamondalikiba-na-ommy-dimpoz/ […]