Last week tuliona namna msanii Diamond Platnumz akisema kwamba yeye anavaa kitu mara moja na kutupa, well si kitu kibaya as kila mtu ana choices zake, lakini kwa mke wa Prince William, Kate Middleton kwake ni tofauti kabisa. Mara nyingi tumekuwa tukimuona anarudia mavazi, na week hii amerudia hii gauni kutoka kwa mbunifu Alexander McQueen ambayo aliivaa miaka 10 iliyopita.
Mara ya kwanza aliivaa mwaka 2011 katika tuzo za BAFTA Ambapo alivaa hii soft purple gown na white belt huku akiwa amemaliza muonekano wake na clutch, saa, pete na hereni. Mwaka huu ameonekana kuivaa tena katika Earth Shot Prize Awards ambapo amebadilisha belt na kuwa less na accessories.
Well let us know your thought on repeating outfits hasa kwa watu wakubwa kama hawa.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kate-middleton-arudia-kuvaa-hii-gauni-baada-ya-miaka-10/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kate-middleton-arudia-kuvaa-hii-gauni-baada-ya-miaka-10/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kate-middleton-arudia-kuvaa-hii-gauni-baada-ya-miaka-10/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kate-middleton-arudia-kuvaa-hii-gauni-baada-ya-miaka-10/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kate-middleton-arudia-kuvaa-hii-gauni-baada-ya-miaka-10/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kate-middleton-arudia-kuvaa-hii-gauni-baada-ya-miaka-10/ […]